Featured Posts

Wednesday, September 24, 2014

BAADA YA KUSAKAMWA KUWA WAMEACHANA, NAMELESS NA MKEWE WAHU WAAMUA KUPOSTI PICHA WAKIWA KITANDANI

Msanii nameless ambaye ni mkali wa music nchini kenya na east africa kwa ujumla, akiwa na mke wake ambaye pia ni msanii anayekwenda kwa jina la Wahuu, wameamua kuziba midomo ya watu amabao wengi wamekuwa wakidai kwamba hawako vizuri kimahusiano, wawili hao wamepost picha hizi za kimahaba wakiwa kitandani huku wakicheka kuashiria kuwa walikua wakiinjoy moment yao .


TUMEAMIA HUKU