Featured Posts

Wednesday, September 24, 2014

KWELI POMBE SIO CHAI KABISAA, MREMBO AZIDISHA MITUNGI NA KUJIKUTA AKISASAMBUA MIUNO MBELE YA WAZEE HAWA

 kuzidisha kiburudisho, mwishoni mwa wiki iliyopita alitibua onyesho na kugeuka kuwa burudani baada ya kupanda juu ya jukwaa la Mlimani Park ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’ na kuwakumbatia ovyo wanamuziki.
image
Tukio hilo lilitokea wiki iliyopitakatika ukumbi wa Railway Clubambako paparazi wetu alimshuhudia binti huyo aliyefahamika kwa jina moja la Fatma, akianza kubadilika taratibu kadiri alivyokuwa akipata kiburudisho chake kilichokuwa katika vipakti vya plastiki.
image
Licha ya kuwakumbatia, pia msichana huyo alivuruga shoohiyo baada ya kukanyaga nyaya zinazounganisha vyombo vya muziki vya bendi hiyo na kusababisha umeme kuzimika jukwaani, hivyo kusababisha onyesho kusimama kabla ya mafundi mitambo kurekebisha hitilafu.

TUMEAMIA HUKU