Featured Posts

Thursday, September 25, 2014

DIAMOND PLATINUMZ AZIDI KUPAA..APATA MCHONGO MPYA WA APPLICATION YA SIMU, soma hapa

Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba maandishi yasemayo ‘Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa kuwa kijana wako sasa ni balozi wa application mpya iitwayo Mziiki’.Hii ni application ambayo itatumiwa na watu wenye simu za androad kusikiliza muziki huu ndiyo muonekano wake utakapokuwa ume instal kwenye simu yako.


Maandishi ya Diamond pamoja na alichokipost ni hiki

TUMEAMIA HUKU