Featured Posts

Tuesday, September 23, 2014

TAZAMA HOT PICHA BANANA ZORRO AKIWA AMEPOZI NA MTOTO WAKE NOMA SANA JAMAA KATOA KOPI

Huyu ni SON wa Banana Zahir Ally Zorro, mara ya kwanza nilivyomuona pale uwanjani nilihisi ni katoto ka kike kumbe NI WA KIUME.. nafkiri hata wewe ukimuangalia tu utakubaliana na mimi.. kamekaa kama kasichana kabisa yani.. SO CUTE!!! naona mzee zorro ana product za ukweli...
Hapa akiwa na Baba yake, LIKE FATHER LIKE SON.. wakati nafanya kipindi pale uwanjani nikiwa naruka live on Clouds FM, aliniona nimeshika MICROPHONE sasa sijui alijua ni ya baba yake maana alinifuata na kuanza kuninyang'anya huku akilia akiwa anaitaka yeye ile MICROPHONE ikabidi nimuachie tu kwa muda lakini kumnyang'anya ilikuwa kazi kubwa baadae..
Hapo ndio ninaposema like father like son coz alichanganyikiwa kabisa baada ya kuiona MIC na ukizingatia kazi ya baba yake inahusisha Microphone so huenda kuna vielement flani vya baba ama familia historia inajieleza.. TUNASUBIRIA lol!!

Hapa akiwa na baba yake.. SAAAAAFIIIIIII!!!!

TUMEAMIA HUKU