Featured Posts

Wednesday, September 24, 2014

EBWANA TEMBEA UONE , KUMBE WATOTO WAZURI HAWAISHI BHANA, INGIA HAPA UMCHEKI HUYU MANZI NOMAA

kwa kweli unapozungumzia urembo unaweza ukawa umewakariri warembo flani kwa kuwa tu unaonana nao kitaa au wapo karibu na maeneo unayoishi, lakini amini na kwambia husije ukasema mrembo flani ameumbika kuliko wote duniani , kiukweli lazima utachekwa tu na watu ambao ni watembezi sana, hii inajidhihirisha wazi tusiende 
mbali leo nataka nikuonyeshe mrembo mmoja taslimu sana hujawahi muona havimi lakini yumo, anaitwa wangechi kutoka nairobi, kiukweli dada huyu ni mzuri ajabu lakini watu weni hawamjui kutokana na kutokuwa maarufu kivile, lakini cha kusikitisha ni kwamba hivi karibuni mrembo huyu alipata ajali na kulazwa ICU lakini kwa sasa anaendelea vizuri tuzidi kumwombea. ama hakika mwenyezi mungu kaumba dah

TUMEAMIA HUKU