Featured Posts

Monday, September 22, 2014

TAZAMA PICHA: WASANII WA FIESTA WAHUDHURIA AROBAINI YA MAMA TUNDA MOROGORO

Afande Sele akiongea na wasanii na kuwashukuru kwa kufika katika arobaini ya Mama Tunda

Wasanii walioenda Morogoro kwaajili ya Fiesta, Jumapili hii mchana walienda nyumbani kwa Afande Sele mjini humo kuhudhuria arobaini ya aliyekuwa mke wake, Mama Tunda na kumpa pole. Hizi ni picha zao.Afande Sele akiwa na watoto wake, mkubwa anaitwa Tunda na mdogo Sanaa

Afande akisalimiana na Linah na Vanesa Mdee
Afande akisalimiana na Linah na Vanessa Mdee
IMG_8340
IMG_8342
IMG_8343
IMG_8375
CRDT:BONGO 5

TUMEAMIA HUKU