Featured Posts

Monday, September 22, 2014

MASKINI JAMANI, ULE UJAUZITO WA MAPACHA WA MWANADADA MWIMBAJI WITNESS, UMEHARIBIKA. SOMA KISA


Ujauzito wa msanii wa Witnes umeharibika siku ya ijumaa iliyopita na anasema hadi sasa hajajua chanzo ni nini.

Witnes akizungumza na paparazi amesema ulikuwa na ujauzito wa watoto mapacha ila yeye anaendelea vizuri kwa sasa.
Pole sana Witnes!

TUMEAMIA HUKU