Featured Posts

Tuesday, September 23, 2014

Who's Bad: Ali Kiba anapendwa zaidi Uingereza kuliko Diamond?

Mabishano ya mashabiki kuhusu ni nani mkali kati
ya Diamond na Ali Kiba ulionekana kufifia kwa
muda kidogo kwenye media lakini ukweli ni
kwamba pressure iliyoko mitaani kiuhalisia kwa
wasanii hawa inafanya mada hiyo kutoepukika
kirahisi.
Mtandao wa Bongo5 umeibua gumzo jingine baada
ya kufanya mahojiano na promota wa muziki na
filamu anaefanya kazi zake nchini Uingereza,
Hadija Seif, maarufu kama Dida Fashion na alisema
nchini humo Ali Kiba anapendwa zaidi ya
Diamond.
“ Sio sasa hivi tu, tangu zamani to be honest kwa
UK Alikiba yupo juu zaidi. Sijui kwanini lakini kwa
watu wenyewe ukisema labda kati ya Ali kiba na
Diamond hapo nani aletwe, honestly watu wa UK
yaani Ali kiba sijui aliwafanya nini lakini Alikiba UK
is the best.” Alisema promota huyo.
Hata hivyo, ripoti hiyo ilipokelewa kwa hisia tofauti
mashabiki wa muziki.
Mtu mmoja anaetumia jina la Blacksailors
Jangombwe kwenye Facebook, yeye ni mtanzania
anaeishi Uingereza ambaye alitofautiana na ripoti
ya Dida.
Hiki ndicho alichoandika:
“ Please Dida Please!!. If you can't afford to hire
someone, doesn't mean he's not popular then the
one you just mention. kuwa mkweli uliweza
kumleta diamond UK before but now you
can't,because he's very expensive. Sasa
unaposema UK wanampenda fulani then fulani
kwaushahidi upi??. have u done a survey If YES
when and which county in UK. Watu wamejaa
kwenye holli waiting up to 5:00 am. Unafikiri
angekua huyo unaemtaja wewe, Nani UK
ungemueka asubiri mpaka saa 11 alfajiri Common
Dida. Msema ukweli ni mpenzi wa mungu. Better
to try another way to promote DIDA ENT.
Northampton peoples know better than
thaaaaaaat!!!!. Common sister you know we always
love you and support you,don't do that, TheTruth is
matter.”

TUMEAMIA HUKU