Featured Posts

Tuesday, September 23, 2014

MMMH KWA POZI HIZI NA VINGUO HIVI VYA PAULA MTOTO WA KAJALA, DZAINI KAMA ANAINGIA BONGOMOVIE RASMI



Dalili zinzidi kuonyesha kwamba dogo huyu mtoto wa kajala ambaye amemaliza shule hivi karibuni atajikita bongo movie au bongo flava, wengi wamekuwa wakijiuliza maswali hayo kwani inavyoonekana kwa jinsi mtoto huyo paula mapozi ya picha na vinguo anavyovaa vinahashiria jinsi gani ameanza kujiweka kistaa staa zaidi,

TUMEAMIA HUKU