Featured Posts

Friday, July 18, 2014

WADAU HUYU MREMBO KANISHANGAZA SANA , HARIDHIKI..NIFANYEJE NAOMBENI MSAADA

Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike.Cha kushangaza kila siku anataka tufanye mapenzi , nilijitahidi kadiri ya uwezo wangu kumridhisha lakini wapi bado haridhiki, admini naomba ushauri nifanyeje??

TUMEAMIA HUKU