Featured Posts

Friday, July 18, 2014

JAMAA APOST PICHA CHAFU ZA MKEWE NA AMSHTAKI MKEWE KWA KUMNYIMA NGON0, SOMA NA JIONEE HAPA


theclicktz.com/

 Kuna kisa kimeibuka ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason, mwenye umri wa miaka 30, alimshitaki mkewe 

Brenda kwa kumnyima haki yake ya kingono au kukataa kushiriki tendo la ndoa.
Mwanamke huyo alimfanyia mgao wa wiki moja kila mwezi wa kitendo cha ndoa mumewe kwa hofu ya kushika mimba kwa mara ya tatu.
Kwa mujibu wa jarida la mtandao la Mirror, la 
Uingereza, Bwana Mason, ambaye kazi yake ni fundi mitambo alishinda kesi hiyo mwaka 1980.

Lakini mkewe alikataa rufaa ambapo Mason alipoteza kesi hiyo baada ya majaji kusema kuwa mahakamaisingeweza kuamua kuwa mkewe Mason alimkosea.

Nini maoni yako kuhusu tukio hili? bila aibu jamaa huyu amepost picha chafu za mkewe mitandaoni ili kumkomoa.

TUMEAMIA HUKU