Featured Posts

Tuesday, July 15, 2014

WAPENZI WATIWA MBARONI KWA KUVUNJA AMRI YA SITA JUU YA PAA

polisi wanawaashikilia wapenzi ambao walikamatwa wakifanya mapenzi hadharani juu ya paa la hoteli moja nchini mexico, polisi wanadai kuwa wawili hao walikutwa wakiponda raha huku wakijua dhahiri kuwa walikuwa wakionekana na wapita njia, msemaji wapolisi aliongeza kwa kusema richa ya kuwambia wapenzi hao waache mchezo huo hatari kwa maisha yao kwani wangeweza kuanguka walikataa kutii amri,

aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Michael Suh, 38, na  Nicole Germack, 27
wapenzi wanaodaiwa kukamatwa na polisi

mgahawa mbao wawili hao walikua wakijiachia

TUMEAMIA HUKU