Featured Posts

Tuesday, July 15, 2014

MSANII MARIAH CAREY ADAIWA KUTUMIA PHOTOSHOP KUREKEBISHA PICHA AONEKANE MDOGO KIUMRI

mapaparazi wa nchini marekani wamemshtuma mwanadada mariah carey kwa kujifanyia  photoshop ili apate mwonekano ambao utawavutia mashabiki wake, wamemshutumu kwa kuongeza maziwa kubana tumbo pia na kuongeza hipsi tazama uchambuzi wa picha hio hapa chini

                            



TUMEAMIA HUKU