Featured Posts

Tuesday, July 15, 2014

PICHA YA SIKU: TAZAMA IAMOND AKIWA KATIKA POZI NA MREMBO WA KENYA VICTORIA KIMANI

hivi punde mwanadada huyu yuko mbioni kuachia ngoma yake ya Prokoto ambayo kwa sasa yuko hatua za mwishomwisho za utengenezaji wa video yake ambaye dangote yuko ndani yake akifanya yake bila ajizi tazama moja ya picha akiwa katika katika pozi na mwanadada huyo ambaye amezaliwa marekani japo ana uraia wa kenya na wakati wa ukuaji wake amewahi kuishi nchini nigeria 

TUMEAMIA HUKU