dada mmoja wa kieshia aliweza kunaswa na kamera za mapaparazi wetu waliosambaa kila kona ya nchi, dada huyo anaekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 20-25, amekutwa akiwa na mama wa kiswahili akiwa anamfundisha kusukuma na kuchoma chapati, baada ya kuhojiwa mama huyo alisema kua binti huyo alivutiwa jinsi anavyotengeneza chapati hivyo akatoa shilingi elfu kumi afundishwe mda uleule aliokuwa akipita, hata hivyo mama huyo aitwae bi shida anadia hakuchukua pesa hiyo na badala yake akajitolea kumfundisha bure, kwani alifurahi kuona mtu wa kigeni ana shauku ya kuja tamaduni za kiafrika
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...