Featured Posts

Friday, July 18, 2014

TAZAMA BUNDUKI NYINGINE ARSENAL:AAKAYEZIBA PENGO LA BACARY SAGNA HUYU HAPA

Tangazo: Arsenal imetoa tangazo la usajili mpya 
KLABU ya Arsenal imemsajili beki wa kulia wa kimataifa wa Ufaransa, Mathieu Debuchy kutoka Newcastle wakati Washika Bunduki wakiendelea kumwaga fedha kusajili.
Debuchy, mwenye umri wa miaka 28, amechukuliwa ili kuziba pengo la Mfaransa mwenzake, Bacary Sagna aliyehamia kwa mabingwa,  Manchester City mapema baada ya msimu.
Arsenal iemtweet picha ya Debuchy ikiambatana na ujumbe#KaribuDebuchy.

TUMEAMIA HUKU