Featured Posts

Thursday, July 17, 2014

SAFINA WA MIZENGWE AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME SOMA HAPA

STAA mkongwe wa vichekesho kutoka kundi la Kashikash Bongo linalorusha michezo yake kupitia Kipindi cha Mizengwe runinga ya ITV, Jessica Kindole ‘Safina’ amejifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Lugalo, jijini Dar es Salaam.
Jessica Kindole ‘Safina’ akiwa hospitali kabla ya kujifungua.

TUMEAMIA HUKU