leo katika picha tatu kali za mji, tupo mji mkuu wa rwanda ambao ni kigali na hizi ndizo sehemu ambazo kama umefika rwanda na hujaziona basi bado tunahesabu hukufika
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...