Featured Posts

Saturday, July 19, 2014

MASOGANGE AZIANIAKA TATOO ZAKE ALIZOCHORWA NA MPENZI WAKE



VIDEO  Queen  nambari  moja  Bongo  Agness  Masogange  amepost  picha  katika  mtandao  wa  kijamii  akiwa  na  mpenzi  wake  kitandani  ambaye  hakumtambulisha  jina  wakiwa  wamejichora  tatoo  hadi  tumboni....

Masogange  ambaye  haishi  vituko  kila  siku  katika  mitandao  alitupia  picha  tofauti  zikionyesha  tatoo  zilizomo mwilini  mwake  na  kuwatakia  watanzania  Asubuhi  njema

TUMEAMIA HUKU