Featured Posts

Tuesday, July 15, 2014

KAJALA AMUANDIKIA UJUMBE MZITO MTOTO WAKE PAULA......KUHUSU MAISHA YAO.. SOMA HAPA

PAULA
Leo ni siku yakuzaliwa na mtoto wa Kajala,ambae anafikisha miaka 12.Kupitia ukursa wake wa INSTAGRAM Kajala ameandika ujumbe mtoto wake kwakueleza magumuuyao yote wakiopitia tangu siku ya kwanza Paula alipoza anazaliwa na mapaka sasa.....Kiukweli Kajala amefunguka mengi sana.....

TUMEAMIA HUKU