“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini” Nikamwambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema wala usijali mume wangu leo nina bongo la zawadi yako, mi nikajua utani...!
Aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani kwangu. Mara tu nikasikia ananiita "shemeji njoo huku tayari", nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji.