10:13 PM

Nimepita Sehemu fulani, nimeona kuna mzozo eti ni ipi staili nzuri saa ya kufanya mapenzi, kweli hili suala lina mitazamo mingi. Mimi nasema hivi, staili nzuri ya kufanya Mapenzi inategemea na Mwenza wako,
mathalani mwenzio ni mnene au ana umbile kubwa huwezi ukamwambia ulale chini halafu akulalie juu...Nadhani
utakuwa unataka kuvunjwa kiuno kama sio kuteguka kabisa. Kiukweli
ziwezi weka picha fulani hapa directly kwa ajili ya kulinda maadili,
hivyo basi staili kulingana na umbile lako na la mwenza wako hutegemea
na umri wenu pia, na ndio maana vijana hadi umri wa miaka 38 hivi ni
wafanyaji wazuri wa mapenzi ukilinganishwa na watu wazima au wazee
kabisa....