katika hali hisiyokuwa ya kawaida mashoga hawa wwawili wamenaswa wakikatiza mitaani bila hata aibu au wasiwasi wowote juu ya jamii inayowazunguka, tukio hilo la kustaajabisha limetokea mjini kumasi huko nchini Ghana ambapo mashoga hao waliamua kutoka huku wakiwa wamevalia mavazi ya kike, kana kwamba hiyo haitoshi mashoga hao walika wanatembea kwa kujibinua jambo lililofanya watu kuwazomea kutokana na kukerwa na vitendo hivyo
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...