Watu 3 wamekufa na wengine zaidi ya 47 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kwenda mnadani kupinduka wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga.
UMATI WA WAKAZI WA KIJIJI CHA UCHUNGA WAKITAZAMA AJALI YA FUSO
Ajari
hiyo imetokea asubuhi katika eneo la uchunga wilayani humo baada ya
gari hilo haina ya fuso namba T680 ARL kuacha njia na kupinduka.
Chanzo
cha ajari hiyo ni mwendo kasi na derava wa gari hilo aliyetambulika kwa
jina la Shija Ngassa amekimbia baada ya ajari hiyo
Ajari
hiyo ya fuso imesababisha vifo vya watu watatu ambapo moja ametambulika
kwa jina la Difa Shimo mili ya marehemu imehifadhiwa kwenye hospitali
ya mkoa wa Shinyanga.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Shinyanga kamishina msaidizi wa polisi Jastus Kamugisha amethibitisha kutokea kwa ajari hiyo.
Kamugisha
amesema jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo pamoja
na kumsaka dereva wa gari hilo sanajali na kutoa onyo kwa wafanya
biashara wa minadani kuacha kupanda magari ya mizigo