Featured Posts

Friday, July 25, 2014

MTOTO WA RAIS KATIKA SKENDO YA NGONO...NI BAADA YA PICHA ZAKE KUVUJA... ZICHEKIII

Mtoto wa Kike wa Rais wa Czech ameingia katika Skendo mpya ya Ngono baada ya picha zake kuonekana katika "Pon party" moja iliyofanyika nchini humo huku akionekana akicheza na kuwashika wanaume walio uchi...Habari kutoka Gazeti moja la nchini humo zimedai ya kwamba Mtoto huyo alipigwa picha akiwa amevalia shati jeupe na sketi nyeusi... 

Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 19 amekataa kuonekana kwenye party hiyo na kusema hizo picha zake ni feki...Kupitia Msemaji wake, Binti huyo alidai kua '''This was not me. The photos are a hoax or some sort of fake" Akiwa na maana kua "Huyo si yeye na Hizo picha sio zake ni feki" Lakini Editor wa Extra.cz ambaye aliweka hizo picha kua ni yeye na si mtu mwingine... Wanafanana hata vidoti katika ngozi zao zinafanana... Inasemekana Party hiyo ilifanyika mwezi wa kumi kabla ya uchaguzi mkuu wa Marais Nchini humo...

TUMEAMIA HUKU