Featured Posts

Tuesday, September 2, 2014

RWANDA YAPIGWA CHINI TENA KUSHIRIKI BIG BROTHER MWAKA HUU

Baada ya Rwanda kutangazwa kuchukua nafasi ya
Angola iliyoondolewa katika msimu mpya wa Big
Brother Africa: HotShots mwezi May mwaka huu,
habari mbaya kwa washiriki na mashabiki wa
Rwanda ni kuwa hawataweza tena kuwa sehemu
ya shindano hilo litakalozinduliwa rasmi Jumapili
(September 7).
Nchi nyingine ambayo imetangazwa kuwa
haitashiriki katika msimu huu ni Sierra-Leone.
Sababu kubwa ya nchi hizo kuondolewa kushiriki
imetajwa kuwa ni uchache wa muda wa
kukamilisha taratibu za safari kwaajili ya washiriki
wa nchi hizo.
Hii ni taarifa iliyotolewa na MNET Africa Magic na
Endemol SA:
“Unfortunately, due to schedules and logistical
constraints there was insufficient time to follow the
necessary procedures in order to process the
required travel documentation which has recently
become a more complex procedure.
M-Net and Endemol SA wish to extend their
gratitude to all those individuals, organizations and
parties which assisted in working to secure the
inclusion of Housemates from both countries.
Whilst it is not possible to include Housemates
from both countries in this season, M-Net and
Endemol SA are confident that they are able to
improve the process in order to successfully
incorporate Housemates from both countries if
there are future editions of the series”.
Source: DSTV

TUMEAMIA HUKU