Featured Posts

Tuesday, September 16, 2014

NDOA YA DADA 'AKE DIAMOND NA PETIT MAN CONFIRMED. SOMA ZAIDI HAPA

Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake , SOMAVanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wakimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa. 
“Ni kweli Esma ni mchumba wangu na Mungu akijalia soon tunafunga ndoa,” alisema Petit kwenye kipindi cha My Playlist cha Clouds TV. Alipoulizwa jinsi Diamond anavyouchukulia uhusiano wao, alisema: Unajua siwezi kumsea moyo wake lakini naona kawaida na hamna tatizo lolote.”

TUMEAMIA HUKU