Featured Posts

Thursday, July 24, 2014

WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA MKUTANO WA MAZIWA MAKUU JIJINI NAIROBI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini tamko la Mkutano  Maalum wa Nchi za  Maziwa Makuu (ICGLR) kuhusu mikakati ya kutatua tatizo la ajira kwa vijana kupitia Uendelezaji Miundombinu na uwekezaji, uliofanyika kwenye hoteli ya Kempinski jijini Nairobi Julai 24, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Batilda Burian na wapili kushoto ni Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TUMEAMIA HUKU