Mtangazaji wa 93.7 EFM Radio, Penny Mungilwa , ameposti picha
kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na pete inayosemekana amevishwa
na mchumba wake mpya siku za hivi karibuni, ingawa bado yeye mwenyewe
hajaweka wazi kuhusiana na jambo hilo.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...