Featured Posts

Wednesday, July 16, 2014

UKIMUONA MSANII WA KENYA JAGUAR KABLA HAJAKAMATA PESA NI VITUKO YANI, EBU INGIA HAPA UCHEKE

mara nhingi huwa binadamu tunawajua wakishapata kutokana na ukwelli uliopo kwamba jinsi unavyokuwa na pesa ndio unavyojichanganya zaidi na watu kwa wingi,  kwa wanaomjua huyu msanii toka nairobi nchini kenya jaguar hii ndiyo picha yake ya enzi hizo bado hajakkamata mpunga, kweli kuna mabadiriko sana ,pesa kweli ni tamu cheki hapa jamaa alivyochenji kabisa , kwa kusaidia tu, jaguar ni huyo alowkewa herufi J



TUMEAMIA HUKU