Afrika
kama tunavyoifahamu, ilikuwa ni sehemu ya Mila na Tamaduni bora kabisa,
sehemu ambayo heshima adabu vilikuwa ni msingi wa jamii yake, hasa
kwenye jamii.
Ila kwa sasa, Waafrika wengi, hasa vijana wamezua mijadala mingi inayotokana na mienendo
ya tabia zao zinazopelekea kuvunjika kwa Mila na Tamaduni bara hili....
Kitu kinachozua maswali juu ya nani wakulaumiwa kwa kuvunjika na
kuharibika kwa Mila na Tamaduni za Afrika...?
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...