Featured Posts

Friday, July 4, 2014

MWANDISHI WA HABARI WA TBC FATUMA MATULANGA ALAMBA NONDO'Z YA UANDISHI WA HABARI ZA BIASHARA KIMATAIFA.SOMA HAPA

 
Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangangazi la Tanzania (TBC) Fatma Matulanga akiwa mwenye furaha baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika uandishi wa Habari za Biashara Kimataifa (Global Business Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Tsinghua, kilichopo Beijing nchini China leo Ijumaa. Bi Matulanga ni miongoni mwa wahitimu 20 kutoka nchi 16 duniani, akiwa wa pekee kutoka bara la Africa katika darasa lake.
 Fatuma Matulanga akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa Professor Fan Hong wakati wa mahafali yao leo.
Wahitimu mbalimbali kutoka nchi 16 wakifurahia kumaliza kwao chuo.

TUMEAMIA HUKU