Diana akiwa katika pozi.
Wakati ukifika akiwa na maisha yake atachagua ni mwanaume yupi anastahili kuwa naye kwa maisha yake rasmi lakini si sasa.
“Sijui kabisa mambo hayo na sijawahi kufanya upuuzi huo, ninaheshimu sana familia yangu baba yangu ni mkali sana hataki ujinga. Kwa hiyo si rahisi kudili na wanaume, mimi ni bikira , natoa nafasi kwa masomo kwanza sitaki kujichanganya na kuwa kituko mjini,” anasema Diana