Featured Posts

Saturday, July 19, 2014

MAAJABU, MBUZI AZALIWA NA KIWILIWILI CHA MBUZI KICHWA CHA BINADAMU, SOMA NA KUTAZAMA PICHA


tukio hili la kustahajabish lilitokea nchini kenya ambapo mbuzi katika hali ya kushangaza alizaa kitotoambacho kiwiliwili ni cha mbuzi na kichwa ni cha binadamu, tukio hilo liliza gumzo miongoni mwa wanakijiji waliohudhuria tukio hilo kkwani wengi wanasema ni tukio la kwanza kutokea mtaani hapo, wengi wao walikiushisha kitendo hicho na imani za kishirikina huku wengine wakidai ni miujiza tu ya mwenyezi mungu, hata hivyo kimwanambuzi hicho kilifukiwa kwani tayari kilikua kimeshafariki





TUMEAMIA HUKU