Wapenzi
kwa uwezo wa Mungu mtoto Maryline amepatikana.Aliibwa changanyikeni
kapatikana Tandale.Huyo pembeni mwenye blue ndio mwizi mwenyewe alikuwa
houseboy wao zamani.Kwa nini alimuiba?je yupo salama na afya
njema?wazazi hawajapatikana bado kuongea simu zimezima. Habari zaidi
zitawaijia tuakapo zipata.