Ni aibu iliyoje! Mrembo
mmoja, mkazi wa Kigogo, Dar es Salaam, aliyedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu
ambaye jina lake halikupatikana, alikatikiwa mshipa wa aibu na kuvua
nguo katikati ya sherehe ya ‘birthday’ ya mtoto.
Kwa mujibu wa habari, tukio hilo lililojaa laana lilijiri ndani ya Ukumbi wa Palm Tree Kigogo, Dar, Juni 19, mwaka huu ambapo kulikuwa na sherehe ya kuzaliwa mtoto aliyetajwa kwa jina moja la Junior aliyekuwa akitimiza miaka mitano ( 5 ). Fungua na uonnejinsi ilivyo kuwa....Chanzo hicho kilieleza kwamba, mnyange huyo ambaye alikuwa mmoja wa wageni waalikwa, alitimba ukumbini hapo akiambatana na mwanamume aliyedaiwa ni mchumba’ake.
Kilidai kwamba, mara baada ya kujitwalia moja ya meza ukumbini hapo, wawili hao walianza kugida ulabu kwa staili ya ‘tuone nani mkali wa kumeza maji’.

MPEKUZI wetu alidadavua
kwamba, haukupita muda mrefu, mwanamume aliyeambatana na mrembo
alionekana akizungumza na simu ambapo alimwacha mwanadada huyo na kutoka
nje.
Ilidaiwa kuwa, kitendo hicho kilimpa nafasi mrembo huyo ambaye alianza kufanya madudu mbele ya kadamnasi bila kujali idadi kubwa ya watoto waliokuwa ukumbini.

AANZA KUPANDISHA KIGAUNI
Chanzo chetu kilidai kuwa, inaelekea jamaa aliyekuwa na mrembo huyo alipata ‘dharura’ hivyo hakurejea.
Ilisemekana kwamba, muda wa kutoa zawadi ulipowadia, mchumba huyo wa mtu alichafua hali ya hewa baada ya kuanza kupandisha kigauni kifupi alichokuwa ametinga na kuacha nusu ya mwili wake sehemu yote ya chini ikiwa wazi.

Chanzo kiliweka wazi kwamba, mrembo huyo alimazia kuvua nguo nyingine hadi ‘kufuli’ na kubaki mtupu kama alivyozaliwa hivyo kuwafanya watoto kushuhudia sinema ya bure.
ATOA ZAWADI ZAKE KWA MAKALIO AKIWA UCHI WA MNYAMA
Iliendelea kudaiwa kuwa, mrembo huyo aliharibu kila kitu pale alipochomeka noti ya buku 10 kwenye nyeti zake na kwenda kumtunza mama wa mtoto.

“Kama hiyo haitoshi, yule
binti aliweka sharti kuwa hakuna kupeleka ‘hela’ kwa mama mtoto na
badala yake watu wamuwekee kwenye makalio.
“Wapo waliokubali ‘then’ akaenda na kumlazimisha mama mtoto azichukue,” kilisema chanzo hicho.