matokeo
yake Brazil wakachapwa tena goli 7 kwa 1, kwa kipigo kile kitakatifu
Roma hakutaka kuzungumzia ishu hiyo hata baada ya kupigiwa simu.
Lakini jana Roma alipost picha akiwa na Bob Jr ndana ya studio za Sharobaro na kuandika
Real
NINJA always lay...on his words!! Xo am xtand on ma' words!!!! Last nyt
baada ya ftari tu...nikapiga ndefu hadi TONGWE nikagonga ngoma moja na
#josmtambo# Kisha nikamchukua producer wangu wa TONGWE REC...tukaenda
wote kwa BOB JUNIOR!! SHAROBARO REC!! Wakakaa kiti kimoja.... Bob
junior(sharobaro rec)+ geof master(tongwe rec)!!!===== Wakagonga BEAT!!!
Guess what.......!!! We makin history!!
Kwa upande wake bob jr yeye amesema
ilikuwa poa kabisa kwasababu kaja moja kwa moja nimemsikilizisha beat
alikuja na idea yake kabla sijamsikilisha beat, lakini
nilipomsikilizisha beat idea yake akaiweka pembeni kakubali sana
nilichokifanya, wimbo unaitwa maumivu, ni bonge moja la ngoma. hii ngoma
mi nimeimba chorus ye anachana halafu kwenye verce tunajibishana ye
akichana mi naimba kwahiyo mungu akijaalia wiki ijayo itatoka....endelea
kumsikiliza hapo chini