Featured Posts

Tuesday, September 2, 2014

HABARI PICHA. KUTANA NA MKE WA 15 MSWATI BINTI MBICHI MIAKA 18 TU .. DAH NI SHIDAAH

kweli mswati ni balaa balaani kwa kuchagua mabiti wabichi kabisa.. huyu ni binti wa miaka 18 tu mzuri wa aja... katika chagua chagua mswati ameangukia kwa mrembo huyu... dah ni shidah.. wewe unamwonaje mpenzi msomaji wetu tupe maoni yako basi

TUMEAMIA HUKU