Featured Posts

Tuesday, July 15, 2014

Uwoya kuzianika tattoo zao, sasa ni zamu ya Chuchu hans. Ipo kiunoni. Itazame live hapa

Baada ya Wema, Wolper, na Irene 

Baada ya Wema, Wolper, na Irene Uwoya kuzianika tattoo zao, sasa ni zamu ya Chuchu hans. Ipo kiunoni. Iangalie hapa
  • Baada ya Wema, Wolper, na Irene Uwoya kuzianika tattoo zao, sasa ni zamu ya Chuchu hans. Ipo kiunoni. Iangalie hapa 1
  • Baada ya Wema, Wolper, na Irene Uwoya kuzianika tattoo zao, sasa ni zamu ya Chuchu hans. Ipo kiunoni. Iangalie hapa 2
  • Baada ya Wema, Wolper, na Irene Uwoya kuzianika tattoo zao, sasa ni zamu ya Chuchu hans. Ipo kiunoni. Iangalie hapa 3
  • Baada ya Wema, Wolper, na Irene Uwoya kuzianika tattoo zao, sasa ni zamu ya Chuchu hans. Ipo kiunoni. Iangalie hapa 4
  • Baada ya Wema, Wolper, na Irene Uwoya kuzianika tattoo zao, sasa ni zamu ya Chuchu hans. Ipo kiunoni. Iangalie hapa 5
 
Baada ya waigizaji kadhaa wa bongo movies kuendelea kuzianika tattoo zao mbalimbali zilizopo kwenye miili yao,sasa ni zamu ya mwigizaji Anyefanya vizuri sana kwenye tasnia ya filamu nchini Chuchu Hans Kichunya kuziweka zake hadaharani baada ya jana kuweka picha kadhaa kwenye mtandao zikionesha tattoo hiyo iliyoko maeneo ya kiunoni kwa juu kidogo.
Huyu anakuwa msanii mwingine tena wa bongo movies kuweka wazi tattoo zake baada ya waigizaji waliozoeleka kwenye jamii kwa tattoo zao kama Wema sepetu, Irene Uwoya, Jacquiline Wolper na Mainda
Angalia picha.

TUMEAMIA HUKU