Featured Posts

Saturday, July 19, 2014

UNAAMBIWA DIAMOND KUNUNUA HUMMER YA MCHUNGAJI GWAJIMA KWA MIL

Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya atudanganye kaagiza ulaya milion 400.

TUMEAMIA HUKU