Featured Posts

Tuesday, July 22, 2014

Umemuona yule model wa video ya Ice Cream alivyobadilika baada ya kupata matibabu ya dawa za kulevya


RAY
Doreen video model wa Ice cream by Noorah alijikuta kwenye hali mbaya baada ya kuathirika na dawa za kulevya lakini Ray C akiwa na foundation yake walimchukua na kumpeleka kupata matibabu.
Hivi sasa Ray C ame post picha ya Doreen na kuonyesha jinsi alivyobadirika baada ya kupata matibabu. Hapo chini ni picha kabla hajapata matibabu na ya juu ni Doreen mpya. Caption ya chini aliandika Ray C baada ya kupost muonekano mpya wa Doreen
Screenshot 2014-05-14 at 19.08.03
ray2

TUMEAMIA HUKU