New Maisha Club Morogoro kulikua na uzinduzi wa video ya
Chuna Buzi ya Shilole ambayo ilikua fursa ya wananchi wa Morogoro
kukusanyika pamoja na kuitazama hiyo video,show ilisindikizwa na wasanii
mbalimbali wa Bongo Fleva.
Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na Darasa,Nuh Mziwanda na baadae
Stamina alitokea kwa ajili ya kusapraiz mashabiki wa Morogoro ambao
hawakujua uwepo wake kwa ile show.
Hizi ni picha za kilichofanyika New Maisha Club Morogoro kwenye uzinduzi wa video ya Shilole.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...