Kwa
Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya
Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na
Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo yanaonekana ni
Jibu lake kwa Ali Kiba, Mchana huu tena Ommy dimpoz amepost Picha hizo
apo chini akiashiria kuingila Ugomvi ama Bifu linaloendelea kati ya
mahasimu hawa wawili,. Sasa swali ni je Ugomvi huu Ommy unamhusu vipi au
ndio kuchochea ugomvi badala ya Kuhusuluisha... Wacha Movie Iendeleeeee