Featured Posts

Saturday, July 19, 2014

TAZAMA PICHA LILI WAYNE AAMUA KUMCHUKUA MKE WA MTU

 

Walionekana wakiwa pamoja kwa karibu sana kwenye tukio la BET awards na baadae mapaparazi waliwapiga picha kwenye after party na pia waliondoka pamoja usiku huo. 
Hivi sasa wameweka wazi kabisa na wameingia kwenye tukio la The Espys wakiwa wameshikana mikono wakifurahia tukio zima. Lil Wayne alihusishwa na tetesi za kuwa kwenye mapenzi na mwimbaji Christina Milian ambaye alikuwa mpenzi wa the dream kwa muda mrefu lakini hivi sasa imekuwa wazi kabisa kuhusu mapenzi yao.


TUMEAMIA HUKU