Yan katika mitihani mbalimbali ya darasani hapa tanzania mademu wanaongoza kwa kuingia na vibuti na pia huwa si rahisi wasimamizi kuwashtukia kirahisi maana mara nyingi wanajichora seheme ambazo si rahisi kukagulika sehemu kama mapaja na sehemu zingine za siri , tazama huyu dada hapo alikua akijiandaa na mtihani jinsi alivyojichora, ukimwona utasema tattoo kumbe sio bhana
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...