Featured Posts

Monday, July 21, 2014

SOMA HAPA WALICHOKISEMA HERMY B WA TANZANIA NA IAN JU YA KIFO CHA KIJANA WA JAJI MWENZAO JULIANA KANYOMOZI


Baada ya msanii mkonwe wa mziki kutoka uganda Juliana kanyomozi kumpoteza mtoto wake wa kiume, ameendelea kupokea salamu za rambirambi kutoka kwa mastaa mbalimbali walioguswa na msiba huo, miongoni mwa rambirambi tulizoweza kunasa ni kutoka kwa Hermy b wa tanzania na Ian ambao pia walikua ni moja ya majaji wa shindano la tusker project fame na walishirikiana kwa ukaribu zaidi na Juliana

Hermy B amesemat “Please accept my condolences on the loss of your son. I can imagine how painful it is for you, and I hope you will be comforted by warm memories of the times you spent together. My prayers will continue to be with you.  May God comfort and put His arms of protection around you at this very difficult time.  Pole Sana Bestfriend and my fellow TPF Judge.”

ne Ian akasema hivi  "My thoughts and prayers for my friend Juliana who lost her son Keron this morning. God give you peace"

TUMEAMIA HUKU