Featured Posts

Friday, July 4, 2014

SOMA HAPA KUJUA NAMNA YA KUJIZUIA KUPIGA BAO MAPEMA NA HIVYO KUMTOSHELEZA MWANAMKE KWA KUMKOJOLESHA YEYE KWANZA

 

JE,UNA TATIZO LA KUFIKA KILELENI MAPEMA?.



Hili ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi hivi sasa,zifuatazo ni sababu na jinsi ya kutatua tatizo hilo.



1: PUNGUZA WASIWASI NA HARAKA YA KUPATA RAHA NA UTAMU.

Wanaume wengine wanakuwa na wasiwasi kuwa wataperfom vizuri au vibaya kiasi gani,wengine wanakuwa na wasiwasi kuwa watapata raha kiasi gani na wengine ambao washajijua kuwa huwa wanafika kileleni mapema,wanakuwa na wasiwasi kuwa watafika kileleni mapema tena.


Tatizo hili mara nyingi linawasumbua wanaume ambao hawana mazoea ya kupeana raha na utamu mara kwa mara,au wanaume ambao ndio kwanza wameanza mambo ya kupeana raha na utamu,kwa sababu wanapata raha ya ziada tofauti na wanaume ambao wana do mara kwa mara ingawa pia kuna wazoefu ambao wanasumbuliwa na hili tatizo.


JINSI YA KUFANYA.

Punguza uoga,wasiwasi na haraka.Kama uoga,wasiwasi na haraka vinasababishwa na kutopeana raha na utamu mara kwa mara,basi jaribu kupeana raha na utamu mara kwa mara mpaka akili yako izoee kitendo cha kupeana raha na utamu na mashine yako izoee joto la Uke.ila kama wewe ni mzoefu na unasumbuliwa na tatizo hili la wasiwasi,basi unatakiwa umwone mwanasaikolojia au Daktari kwa sababu nina uhakika watu hao watakushauri vizuri.Pia jaribu kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara kwa kuwa yanapunguza uoga na wasiwasi na yanaongeza kujiamini na pia yanaongeza stamina itakayokusaidia usicum mapema.

2: ACHA KUJICHUA..

Wanaume wengi washawahi kujichua baada ya kubalehe,wengine wanaacha kujichua wakishapata wasichana au wakianza kuwa watu wazima.Lakini wapo wanaume wengine kujichua kwao imekuwa kama ulevi wa pombe au madawa ya kulevya.Wanazidisha kiwango cha kufanya kwa siku na kuacha hawawezi hata kama wanapenda kuacha.Na kadri wanavyozidi kujichua,ndio misuli ya mashine zao inazidi kulegea na ndio hapo sasa wanakuja kupata tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa kupeana raha na utamu.



JINSI YA KUFANYA.


Kama unajichua zaidi ya mara moja kwa siku au haiwezi kupita siku bila kujichua na unasumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema,basi ujue kujichua ndio tatizo lako unatakiwa uache mara moja,kama hujui jinsi ya kuacha basi zifuate hatua zifatazo:-



*Usikae peke yako kabisa ili kuepuka kupata hamu ya kujichua bila sababu.



*Usikae karibu na vitu vitakavyokupa tamaa ya kujichua mfano,picha za ngono.



*Tafuta kitu kingine cha kufanya kitakachokuchangamsha mfano,kucheza mpira n.k



*Fanya mazoezi kwa kuwa yanasaidia kuondoa mawazo ya ngono na kujichua.


*Punguza idadi ya kujichua kwa siku kidogo kidogo mpaka uache kabisa.


TUMEAMIA HUKU