Featured Posts

Saturday, July 5, 2014

SHIDAAA: MAKAHABA WANASWA WAKIFANYA NGONO HADHARANI KWEUPE BILA YA WOGA


Vijana wa kike na wa kiume walionaswa wakifanya vitendo viovu uchochoroni. MAJANGA! Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) inayodili ya maeneo korofi kwa uovu, imewanasa vijana wa kike na 
kiume wakifanya vitendo vichafu vichochoroni, maeneo ya Mbagala-Zakheem, Dar. Awali, OFM ilipokea malalamiko kutoka kwa wakazi wa maeneo hayo juu ya vijana hao kufanya ngono vichochoroni na kusababisha
kuzagaa kwa maboksi ya mipira ya kiume (kondom) maeneo hayo kutokana na kutupwa hovyo baada ya kutumika.
AIBUUUU

TUMEAMIA HUKU