Featured Posts

Friday, July 4, 2014

KUTANA NA VIDEO & PICHA UWONE JINSI DJ FETTY ALIVYOUMUKA USO BAADA YA KICHAPO KTK KWA MCHOMVU NA 12


Kupitia mtandao wa INSTGARM, mwanadada Fatuma  Hassan aka DJ Fetty ameweka picha yake  (hii hapa chini) ambayo ukiiangalia kwamakini utaona kuwa anaonekana kama amevimba macho..sijui hii nikutokana na lile VURUMAI la jana STUDIO..au ni maswala mengine....BUT baada na muda kidogo akaweka tena VIDEO Clip akiwa anaimba na kuindikia TITLE "“One two one two..” Hapa ndio utamuona vizuri zaidi:



YA KWAZA>>>>>>>>HAPA
YA PILI>>>>>>>>HAPA

TUMEAMIA HUKU