Featured Posts

Tuesday, July 15, 2014

HAKUNA CHA MNENE KWA MNENE HAPA. RICK ROSS AAMUA KUOPOA POTABO, KUWA WAKWANZA KUMSHUHUDIA HAPA

rapa mkali wa hip hop marekani hatimaye nayeye kamweka wazi demu wake, rapa huyo ameonekana kuwashangaza wengi kwa kutoka na modo ambaye ni potabo tofauti na wengi walivyotegemea kutokana na umbo alilonalo rapa huyo, mtazame hapa


TUMEAMIA HUKU